Been On Probation For 9 Months?
Huko ofisini, umesikia wenzako wakipata confirmation letter na wewe bado unangojea? “Been on probation for 9 months?” inamaanisha umekaa kwa mkataba wa majaribio kwa muda mrefu kuliko ile miezi sita ya kawaida. Hii guide itakupa mwanga juu ya haki zako chini ya sheria ya kazi ya Kenya na unachoweza fanya. Kujua hivi kunakupa nguvu kuzungumza … Read more